Recent content by Gm1

  1. G

    Kuhusu Sare za Shule hasa za Msingi

    wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...
  2. G

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    nafikiri Luna mahali haujafanya Tafiti kuhusu uliyoyaandika, nadhani kuna jambo haliko sawa katika namna yako ya kufikiri au ubongo wako una mashambulizi ya magonjwa mbalimbali. mama ametekeleza takwa la kikatiba hasa mikataba ya kiserikali na watumishi, amejaribu tumpe muda sio sawa na bure...
  3. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hivi wadau, mbali na hapa jamii forum kule whatsap kwenye magroup pia tunachangamkia fursa za kutafta wa kubadilishana nao?, au kule fb? maana kule pia watu wanapatana
  4. G

    Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    nitafte uende Tanga ukaenjoy mwl aje hapo marangu kama uko msingi
  5. G

    Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    ni kigezo ila si sana , nimefuatilia nimegundua waalimu wengi wanataka kuhamia mkoa wa kilimanjaro ila hawapati taarifa za watumishi wenzao wanaotaka kutoka kilimanjaro, hii n moja ya dodoso zangu fupi baadae nitapata ufumbuzi wa haya. Tanga na moshi n masaa 5 luxury bus n 16,000 na Costa n...
  6. G

    Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. . Kama wewe ni mwalimu au unaukaribu na mwalimu aliepo mkoani...
  7. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo mkinga Tanga nije huko kilimanjaro , wilaya yoyote ulipo idara elimu msingi
  8. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    sio kugoma boss , ni bado anatafuta wa karibu zaidi, nikikosa nitakuja ikibidi
  9. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kama hujapata njoo Mkinga Tanga nije huko siha, au kama una rafiki anaetaka kutoka huko aje mkinga Tanga anicheck whatsap namba 0756021191
  10. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwalimu shule ya msingi ,yupo mkinga Tanga anataka wa kubadilishana nae aliepo mkoa wa kilimanjaro wilaya yoyote, au Arusha DC, . kwa mawasiliano tumia whatsap no 0756021191.
Back
Top Bottom