Recent content by glycerine

  1. G

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

    Hahahahhhh ukweli ktk ubora wakee
  2. G

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

    Shusha jiweee jingine mkuu hili haliwatosh hawa wavivu wa akili na kazi, I realy pity thm
  3. G

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

    Hahahhh mkuu una utani na hasira za watu ee...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Nimezaliwa kijijini huko porini lakini nawakalisha waliozaliwa mbele

    Hiv nin maana halisi ya ujanja????? Ni lafudhi ndo kuwa mjanja au pesa???? Am so wandazzzz!! masanja rudi tena ufafanuee naona mada zmeinguliana hku....
  5. G

    JamiiForums Tanzania Utanipenda imeendelea kuvunja rekodi

    Cjui unamaana gan mkuu bt km ni kutaja majina ya familia yake hta hko majuu mbona hii inahappen sana, mf.recently ni chris brown na mwanae plus kanye na baby north wake
  6. G

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ina kazi gani kama Rais na Waziri Mkuu ndio wanaogundua rushwa?

    Takukuru hana meno labda maguful awape huo uwezo wa kuwawajibisha moja kwa moja wahusika maana kichekesho kilichopo ni kwamba kaz ya takukuru n kumkamata mwiz thn anamwachia DPP amuwajibishe ss haya si maigizo na maajab saba ya dunia?????
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hahahhaaaa mkuu umenichekesha, nakumbuka jinsi nilovyokuwa napata tabu pind bum linapochelewa kwa kwel watumbuliwe tuu maana hakuna namna
  8. G

    JamiiForums Tanzania Vimemo Bandarini; Nani walikuwa wanaandika?

    Hapo sasa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Matabaka yanazid kukuzwa kwa makusud ktk hii nchi kwa njama za makusud na kulazimisha saikolojia za watu ziamin tu kuwa kutoa pesa nying ndo kupata elimu bora mbaya zaid ni pale unapolazikika kumlipia mtoto wa miaka5 1.5mill cha zaid anachojua ni kuimba wimbo wa taifa na kukariri alpabetic tu...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Yan kwakel hakuna namna wanyooookeeee tuuuuu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Na zingine pamoja na ku pandisha ada bado huduma zilikuwa mbovu kuliko kipimo cha kawaida yan mtoto unamlipia mamilion et kisa english speakin bado na miziro watoto kibao wanapata ss hapo useme kama mzaz ufanye ziara ya kushtukiza kwa kwenda kuchek bwen analokaa mtoto uwiii unaweza kuzimia, mm...
Back
Top Bottom