Hii inabidi uanze mara baada ya kuajiriwa na tena uwe na financial mentor (wa bure lkn[emoji3]) unayemsikiliza na kumheshimu hasa
Otherwise ile mihemuko ya kuanza kushika hela yako mwenyewe utataka ujaribu kila kitu, uwe kila mahali, ununue kila unachokifikiria kichwani hata kama hukihitaji...
Kumbuka hapa tunaongelea long term plans
Mambo vya miaka mitano au kumi huko mbele
Muajiriwa hiyo 10m au 20m anakuwa ameipata wapi in lumpsum apart from mkopo au kusevu kidogo kidogo
Na akishaipata anaweza akafanya biashara zipi akiwa kazini kwa watu huko
UTT ndo pa kuhifadhia sasa ili...
Well, You might be right
Lakini walau wamekuwa consistent
Mfuko ulianzishwa mwaka 2007, kipindi hicho sijui rais nani huko, bado miaka mitatu utimize 20 yrs
Naona kama hii serikali wanaiheshimu
Yan ulipwe 400k bado uongeze neno standard kwenye nyumba na self
Hichi kipindi unatafuta pa kujisitiri tu wakati unafocus malengo ya mbele zaidi, ambayo kama kila kitu kimeenda sawa, na ukafanikiwa kwenye ujasiriamali utaadjust accordingly
Kwa ajili ya kujifunza, mshahara ukianzia sh ngapi...
Mlioweka hela utt mlivomshambulia jamaaa sasa[emoji3]
Ukiweza kutofautisha hivi vi4 utagundua kila mtu anakuwa amefanya best decision kwake
1. Business vs investment
2. Active vs passive
3. Mtu mwenye muda na nafasi ya kuwa active kwenye biashara vs asiye na muda kabisa, probably kaajiriwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.