Recent content by Glory Thomas

  1. G

    Biashara ya kupeleka bidhaa Congo

    Mmeshindaje wadau, nilikuwa naulizia wenye uelewa na biasharra ya kupeleka bidhaa Congo mje mtupe madini, nataka niende katanga je ni bidhaa gani inatoka huko? Na utaratibu upoje inabidi uwe na nini na nini na kwa sisi wenye mtaji mdogo unaweza anza hata na shilingi ngapi nasikia congo hamna...
  2. G

    SoC03 Wahitimu kutoka kaya masikini wapewe kipaumbele kwenye soko la ajira

    KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA. KWA KUIGA MFANO WA TASAF UTANGULIZI: Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu kuangalia njia za kuwezesha wahitimu kutoka kaya maskini kupata fursa sawa za ajira. Programu ya Tanzania...
Back
Top Bottom