Recent content by Glory Tausi

  1. Glory Tausi

    SoC01 Kisa cha Aisha

    AISHA Aisha anajitizama kwa chati kwenye kioo kidogo kilichoko chumbani kwake, anashusha pumzi hafifu kwa anachokiona mbele yake. "Kweli nimechunda Aisha mimi," Anakiri kimyakimya. Tayari uso ulikuwa umekomaa mithili yaajuza aliyemaliza miongo kadhaa ilhali umri wake ni miaka 24 tu. Binti...
  2. Glory Tausi

    Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

    Eti aliwahi kuojiwa usanii umempa mafanikio gani akasema anatongozwa sana,jamani????????
Back
Top Bottom