Recent content by glorius

  1. G

    Update: Kwa wale mliosoma topic hii na kutoa ushauri chanzo hiki hapa:

    Pole sana MR BEn,kwa kweli ni kitendo cha aibu na kinyaa,ila Muombe Mungu akuwezeshe kushinda majaribu,pia Omba msamaha kwa MUNGU na kikubwa badilisha mawazo yako ,maana mpaka unafikia kufanya hivyo kinachoanza ni mawazo so badilisha hayo mawazo yako.MUNGU ayakusaidia cos tunayaweza yote katika...
  2. G

    Mke wangu hana nidhamu?

    Pole kwa jinsi umejisikia,kwanza mkeo ana adabu ndo maana hata anakuwekea maji bafuni,,labda useme mke wako hayuko sweet ila unaweza ukamfanyia vile unataka ufanyiwe nae atajifunza taratibu,kikubwa usikate tamaa
  3. G

    je kuoa mwanamke ambaye ameachika na ana watoto kuna madhara gani kwa mwanaume au uhusiano?

    Mi naona inategemea na kwa nini aliachika ila in general sio mbaya,na pengine ni vizuri zaidi maana ana experience ya maisha na ni rahisi kukuapriciate zaidi.
  4. G

    Upendo wangu wa kweli kwa wanawake umepotea kabisaaa..

    Pole sana,ndo maisha,kubal kwamba its over pia amin you can let her go,wewe sio wa kwanza na wewe sio wa mwisho kupitia tabu za mapenzi,ila unaweza ukawa wa kwanza kumruhusu mtu mwingine ayaharibu maisha yako, here is what you can do. kwanza pray to God,pil waza kuwa unaweza kufanya jambo...
Back
Top Bottom