Recent content by Glorified01

  1. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu imeishia wapi?

    Mi naamini Mungu Muumba wa mbingu na nchi amemwifadhi huko awe salama, Njia za Mungu zipo juu sana adui anamlinda kwa kusudi lake Mungu wao wanadhani wanamkomoa. Mwombeeni tu na kumshukuru Mungu
  2. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

    Unajua kiongozi anapotoa statement kwa umma anatakiwa kuitoa kwa umakini sana bila kuleta mitazamo hasi. Mfano kauli yamkini ilikusuduia kuleta hali ya utulivu na kubadili upepo fulani. Lakini ukiichambua kwa umakini na kuihusianisha na yanayo endelea kwenye the Republic of ...inakuwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania DP World Ilivyozima dili chafu za TEC. Bandari ya Dar, hasira kwa Rais Samia

    Inatakiwa iondolewe hapa ni ya uzushi nashangaa wahusika kuirusu hapa wakati ukiingalia tu unaona ni uzushi na uchochezi, na kuficha kilichonyuma ya Ubinafsishaji wa Bandari zote nchini kwa Kampuni moja yaani DP World.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwasili mahakamani kwa ulinzi mkali

    Umeongea vema sana, ila nakuhakikishia hivyo ving'ora vitageuzwa kuwa vya Heshima na Utukufu kwa Mungu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Habakuki 1; 2 Ee Bwana, nilie hata lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa. 3 Mbona wanionyesha uovu, na kunitazamisha ukaidi? Maana uharibifu na udhalimu u mbele yangu; kuna ugomvi, na mashindano yatokea. 4 Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Kwa mtu anayejua spiritual realm utagundua kuwa hakuna kitu kinazaliwa pasipo uchungu. Kama ni Mkristo ukiona unapita kwenye moto na mateso ni sauti ya Mungu kukuambia omba ili niintervine. ndo maana alipoona kanisa haliombi aliamua na wao wapigwe au kuuawa ili kuwalazimisha waombe maana MUNGU...
  7. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ado Shaibu anatoa msimamo wa ACT, leo Julai 10, 2025

    Habari wana jamvi, mi natafakari hii statement ukiitafakari kwa kina na kwa jicho lingine mi naona ni Mpango wa Deep State wakisaidiana na ACT WAZALENDO kuendelea kuteka public attention na ili pia kujustify kwamba na wawo pia wanakuwa threatened na Serikali. Mi nimetafakari hivi kweli Wagombea...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Matsahi: Mnaosema Mtakinukisha mnajua maana yake lakini au mnajitia Wendawazimu tu? tuulizeni Sisi tuliokuwa Israel Juzi!

    We acha kuwatukana viongozi wa kanisa, Dhehebu la KKKT halina njaa, acha kupotosha. Halafu Pia huyo Mstai hana njaa kabisaa labda wewe ndo unanjaa.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila Tanzania

    Wanyamwanga- Songwe Wanyiha- pia wapo Songwe Wakaguru Morogoro
  10. G

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election
  11. G

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA chaumia Mwanza

    Hili jina yaani lipo very flexible kuexpress yaliyowapa Mwanza. mfano Chauma Chaumia, Chauma chaumana, chauma chaumwa :D:D:D
  12. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Mithali 18:12 NENO [12] Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi,bali unyenyekevu hutangulia heshima. https://bible.com/bible/1627/pro.18.12.NENO
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Ndiyo anaweza potea kwenye siasa lakini kumbuka kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza, kwa uwezo wa Lissu popote atakapokuwa lazima tu atashang'ara tu. Na chadema wakimfukuza au wasipompa nafasi yeyote watashangazwa sana kwa kumpoteza mtu resources full kama huyo, yaani itakuwa ni kama wanataka...
  14. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Anayetakiwa kufukuzwa au kusimamishwa ni Wenje, kwa chama makini na kwa mtu makini anayehubiri uwajibikaji kwanza anatakiwa hata ajiondoe kwenye kinyang'anyiro cha Umakamu M/kiti maana akiendelea na akishinda inamaana chama wamekiuza kwa wapenda Rushwa. Na Mh Lissu ameweka wazi taarifa hizi ili...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Naamini Trump will win the 2024 US election, ukiangalia hiyo trend ya kuendelea kumpiku Harris kwa siku za karibuni kuelekea uchaguzi inamaanisha Wamarekani Wanaendelea kuweka imani kwa Trump, probably pia wale walikuwa undecided wanaanza kumwelewa Trump. Check US election: 1 day left – What...
Back
Top Bottom