Acha kupandikiza mawazo ya ubaguzi wew. Kwahiyo kama huoni chama kingine cha kutawala unamaanisha tuendelee kutawaliwa na ccm? je ccm wana haki milki ya kuitawala Tz milele? na kwanin tumkumbuke baba ritz 1, kwa lipi zuri alilofanya zaidi ya kutuvurugia uchumi na sera zisizolisaidia taifa, umeme...
Na hili ndo tatizo la haya mafisiemu. Yaani ukiwa mtumishi na una misimamo ya kisisiemu au ni mwanachama ni lazima utapewa hata fursa nyingi mfano semina na kazi nje ya majukum yako zinazokupa kipato. Ila hawa wapumbavu na malofa wenzangu wanaishi kwa kutegemea mshahara tu. Huu ni ubaguzi mkubwa...
hahahaha eti sio kila kifaa kinafaa kuzibia mtumbwi! Duh, watanzania sasa wamechoka na mtumbwi unaowasafirisha. Mwaka huu hawatahangaika kuuziba wala kuujali tena kwa sababu tayari boti ya uokozi ya kisasa na maridadi kabisa iitwayo UKAWA inakuja kuwaokoa. Asiependa kuokolewa na hiyo boti basi...
asikudanganye mtu siku hizi hakuna elimu yoyote. Sisi tulioko mashuleni hasahasa Sekondari ndo tunaona vituko. Mtoto anakuja hajui hata kuandika vizuri, wengine hawawezi hata kuongea vizuri Kiswhili kwa sababu ya sera mbovu, miundombinu mibovu na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia na kufundshia...
hahahaaaa you made my day! hakika huyo mama ni wa kusamehe manake hata uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo. Ila chondechonde tuwaelimishe na mwisho taifa hili tukufu tutalikomboa toka makucha ya mafisadi na wakoloni weusi. Unajua hata wasomi wanaweka mifukoni akili na elimu zao wanasema eti...
Ama kweli la kuvunda halina ubani na ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni!!. Huku CCM wakihaha kwa njia zote kupambana na wimbi kubwa la mabadiliko chini ya UKAWA na hata kufikia hatua ya kutumia tamasha la wasanii (fiesta) kuwashawishi wananchi ili waipigie kura CCM,
katika hali isiyokuwa ya...
Mleta thread usitupoyezee muda wetu. Hivi huyo Magufuli anaongea na wazee wa Dar au na wazee wanaCCM wa Dar manake hizo picha zinaonesha maguo ya kijani na njano tu, sasa mna jipya gani? Hapa utofautishe kati ya kuongea na wazee wa Dar na kuongea na wanaCCM wa Dar. Afterall, waache wafu wazike...
Magufuli na CCM yake wamekosa mwelekeo kisiasa. Unapowaambia walimu tena watu wazima et utawanunulia laptop, essence yake ni ipi hasa? Anamaanisha walimu hawana uwezo wa kununua laptop ya Tsh 800,000? je hii si dharau ya mchana kweupe. I declare my interest, am a teacher. Walimu hatuhitaji hizo...
Dhana ya kubadirisha chama sio kwamba ndio formula ya kuleta maendeleo. Kuna nchi zimeongozwa na zinazidi kuongozwa na chama kimoja na zimepata maendeleo thabiti ya kiuchumk yanayoonekana dunia nzima na kuwafaidisha watu wake. Mfano mzuri ni China inayoongozwa na Chama cha Kikomunist kwa miaka...
Mtoa thread unakua kama kipofu aliejifanya kipofu yeye mwenyewe. unapoongelea mifano ya nchi maskini eti kisa zinabadirisha vyama uwe makini. Kenya kwa maendeleo kiuchumi iko ktk top 10 Africa wakati Tz haimo. Kenya imetuzidi sana kiuchumi na kimaendeleo ya mtu mmoja mmoja, sasa sijui unaongelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.