Recent content by gladysulezi123

  1. G

    Kwaheri mafisadi

  2. G

    Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Nashindwa kumuelewa mtu huyu mara hana chama mara anaji involve tena kwenye siasa nashindwa kumuelewa? Naombeni usaidizi!
  3. G

    TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    Huu uchaguzi Jamaniii, Mhhh, lakini kazi ya Mungu haina makosa, Mungu amlaze mahali pema peponi
  4. G

    Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

    Magufuri amewachanganya hawajielewi Chadema hawana dhamira thats why wanakimbilia huko kwa hofu yakuja kutolewa maana hakuna cha maaana walichokifany ccm
  5. G

    Nitakuwa mwendawazimu nikimchagua muhujumu uchumi

    Uchaguzi huu ni hatari, uhujumu ni shida
  6. G

    KAKAKUONA : Ukawa ni urafiki thabiti au ulafi wa madaraka?

    Mtafaruku mkubwa upo katika kuachiana nafasi za udiwani katika maeneo mbalimbali nchini,licha ya kuwapo waraka wa ushirikiano wenye muongozo na vigezo uliotiwa saini agosti 13.2015
  7. G

    Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’. “Aliamua kutembea kwa gari, kutembea katika barabara mbovu, kwani uwezo wa kutembea na...
  8. G

    Watanzania wanaanza kuyaona yanapatikana ndani ya CCM, Hebu tuyapime matamshi haya ya wagombea

    Unatafuta makosa yasio kuwa nakichwa wala unyayo october ndio funga kazi
  9. G

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM...
  10. G

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Maana kusomeshwa bure kuanzia chekechea hadi chuo mara form 4 wao watoto wao watakuwa wapi na je wawo walisomaje hapo nyuma? Je swala la ajira linakuaje hapo? Afya barabara
  11. G

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Maana kusomeshwa bure kuanzia chekechea hadi chuo mara form 4 wao watoto wao watakuwa wapi na je wawo walisomaje hapo nyuma? Je swala la ajira linakuaje hapo? Afya barabara
  12. G

    Lowassa: Elimu bure inawezekana Tanzania

    kwa lowasa haiwezekani
  13. G

    Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

    Tanesco inakera sasa na haya mambo ya kampeni hatupati fursa kupata uhondo wa habari
  14. G

    Magufuli ni mgombea binafsi? Hataki kuhusishwa na CCM

    Hoja zimewaisha sasa mnaumiza akili kutafuta yasio wezekana kumtoa
  15. G

    Huyu ndiye Rais wangu mimi na wewe

    Ni dhahili kuwa DR JOHN POMBE MAGUFULI NI RAIS WA TANZANIA\, TINGA TINGA LETU LIPO JUU
Back
Top Bottom