Recent content by Glady michael

  1. Glady michael

    Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Glady michael

    SoC02 Mabadiliko chanya katika Sekta ya Afya kwa sasa Tanzania

    Natumia pc kwanza natuype, nacopy then napaste
  3. Glady michael

    SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Shukrani Ila kipindi unasoma serikali ilikusaidia mkopo tena wengine asilimia 100 unatak useme zile fedha unafanyia nini ?? Umeshindwa kuwekeza hata buku buku ukaja kutumia kama mtaji wako ??? Sio kila kitu kutegemea serikali kuna shughuli nyingine hazihitaji hata milioni ili ufanikiwe basi tu...
  4. Glady michael

    SoC02 Hili litasaidia Wahitimu wa chuo wengi kujiajiri, na kuajiri wengi

    Shukrani Mpaka now vijana wengi wa vyuo upeo wao wa kufikiri ni mdogo Licha ya Serikali kupiga kelele kuwa hakuna ajira wao ndio kwanza wataanza kulaumu Serikali oooh kwanini tunasoma sasa!!! No hata Mungu kasema soma na hajasema soma ili uajiriwe ila kasema soma ili uwe na elimu tena na...
  5. Glady michael

    SoC02 Namna bora ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini

    Makala nzuri sana Vijana wakimaliza chuo wanapata changamoto sana kwasababu akili yao yote inawaza ajira za Serikali na kusahau suala la kujiajiri wenyewe. Vijana tubadilike tukitoka chuo au tukiwa chuo tuwe na mawazo ya kuwekeza wenyew binafsi na si kuwa na mawazo ya ajira za Serikali maan ni...
  6. Glady michael

    SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    😢😢 mim Nina tatizo kama lako na sikuzaliwa nalo historia kama yako Nipo chuo mwaka 2 sina Amani na elimu kuna mda nakata tamaa kutokana na hili tatizo nakosa fursa mbalimbali kutokana na hili tatizo, kila siku namuomba Mungu lakini bado sijui mwisho wake ni lini ..... hili tatizo ni changamoto...
  7. Glady michael

    SoC02 Mabadiliko chanya katika Sekta ya Afya kwa sasa Tanzania

    Someni, toeni ushauri, maoni na kisha naombeni kura zenu.
  8. Glady michael

    SoC02 Mabadiliko chanya katika Sekta ya Afya kwa sasa Tanzania

    Huduma za afya ni zile huduma ambazo hutolewa kwa wananchi kupitia asasi za kiserikari na mashirika binafsi katika kurefusha maisha, kuzuia magonjwa na kusaidia watu kupata afya nzuri na bora. Tanzania ni nchi ambayo ilikuwa dhaifu katika upatikanaji wa huduma za afya hii ni kutokana na...
  9. Glady michael

    SoC02 Nini kifanyike katika kuinua uchumi katika biashara yako?

    Makala yangu imejikita zaidi katika kuelezea makosa ambayo hufanywa na wafanyabiashara wengi na hata watu ambao huanza kupanga kufanya biashara. Makosa hayo hufanya watu kudidimia Baraka ya kufanikiwa. Je nini kifanyike? Tutaona mbinu, njia, au mwongozo ambao ni muhimu kufuata ili ufanikiwe...
Back
Top Bottom