Recent content by Gladson thomas

  1. Gladson thomas

    JamiiForums Anahitajika Mwalimu wa Chekechea

    Kuna uhitaji wa mwalimuwa chekechea mmoja. Shule ipo Iringa Ifunda. VITU VYA KUZINGATIA Awe ni mkazi wa Iringa Awe na Cheti cha mafunzo ya watoto wadogo. Uzoefu ni muhimu ila sio lazima Kwa mawasiliano zadi 0712746253 Whatsapp au 0624169990
  2. Gladson thomas

    JamiiForums Nina uhitaji wa mwalimu Mmoja aliesomea mafunzo ya wanafunzi wa nursery..

    Nafasi ya kazi... Ndg zangu Napenda kuwatangazia kuwa nna uhitaji wa mwalimu Mmoja aliesomea mafunzo ya wanafunzi wa nursery.. SIFA ZA MWOMBAJI 1) awe na cheti chochote kinacho husu mafunzo ya watoto ( nursery) kwa ngazi yoyote.. 2) Awe mvumilivu, msafi na moyo wakujitolea. 3) Awe...
Back
Top Bottom