Muonamambo pole sana kwa hilo lililokukuta, tunaomba utuambie ni marketing personnel gani alokupa hayo majibu? kama unaweza pata jina lake ingesaidia sana kurekebisha kosa hilo lisitokee kwa mtanzania mwingine. ila fastjet sio wezi hata kidogo ndo maana tumeamua kurekebisha madhaifu yetu yote to...
asante kwa kuipanda na tunaomba radhi sana kwa kero zozote ulizozipata, kumbuka kwamba sisi ni kampuni mpya na carrer mpya Tanzania, mwanzo mgumu ila tunaimani muda si mrefu tutakaa sawa kwani tunarekebisha makosa yetu moja baada ya moja. asante.
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo...
TUNAOMBA RADHI SANA KWA kero uliyoipata, na tunashukuru sana kwa maoni uliyotoa inaonyesha unajali sana watanzania wote na kampuni yetu pia. timu yetu inalifanyia hili suala uchunguzi haraka iwezekanavyo na kama itabainikika kuwa na ukweli wa aina eyote hatua kali zitachukuliwa dhidi yao, na pia...
Pole sana mojaone kwa yaliyo kukuta.
fastjet toka tumeanza safari zetu nchini, tumekuwa na rekodi nzuri ya kuwahi kuanza safari na kufika ndani ya muda muafaka. tumeweza kufanikisha yote haya kwa sababu abiria wanawahi kufika airport. hatujawahi acha abiria hata siku moja aliyewahi. muda wa...
kaka yagu pole sana kwa yaliyokukuta, mimi naomba niulize je ulifika ofisini fastjet saa ngapi kulipia hiyo tiketi yako? maana kama ulifika muda ambao tiketi yako isha expire utakuwa unalaumu fastjet bure, kwenye story yako hujaandika ulifika ofisini saa ngapi? na ulipata a cheap price maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.