Recent content by gkipps

  1. G

    pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    We kama huna kazi nenda kapige hata hiyo ambayo unakunja kilo 2,ukikaa nyumbani utaolewa mtoto wa kiume au upewe matembele uchambue
  2. G

    Ofisi Mpya ya WEMA SEPETU Hii HAPA

    Anazidi kuwa kama mdoli tu!mi sipendi mtu akijichubua,basi tu!
  3. G

    Tamasha kubwa la extra bongo mbeya aibu,waliofika ni watu 20 tu ukijumlisha waandishi

    Watu mbeya hawana hela,unafikiri walikuwa hawana hamu ya kwenda,hata mashetani wao wanapenda raha tatizo ukata
  4. G

    Record yavunjwa, hawa ndio wanyama kumi mabonge zaidi duniani

    Alienivutia ni huyo "Noah" tu basi,mate yananidondoka hapa
  5. G

    tufungukeni majina ya wanyakyusa...naaanza

    Atufile Atupangusye Mwambolo
  6. G

    Huku tunapoelekea sasa Tanzania sijui wapi?

    Huyo alishashindikana kitambo na sababu kubwa ni tungi,analewa huyo dada kama hakuna kesho vile
  7. G

    Wabongo acheni kulalamika kwa muumba mungu wewe una matatizo kuliko huyu jamaa

    Huyo mwanamke alienae mungu ambariki ana true love
  8. G

    Wakati cdm ikipiga porojo, ccm inafanya haya

    Kwani watu tunakula barabara?wizi mtupu,walikuwa wanauwezo wa kufanya makubwa mara 10 ya hayo ila sababu ya ufisadi wao/wenu mnajisifu kwa hivyo vibarabara vichache,tuondolee upuuzi wako hapa!
  9. G

    Kazi kazi kazi nafasi mbili

    0655049787
  10. G

    The African woman is born as an Original

    Linah nae wano
  11. G

    kuhusu walioitwa kazini WEO III

    Mbona hujaeleweka?ulijipanga kweli kabla hujaandika hiki ulichoandika?
  12. G

    Totoz Kali Za Bongo! Approved By Allien!

    Huyo dada mwenye pink na kaptula ya jeans nimepiganae school shinyanga
  13. G

    kuhusu walioitwa kazini WEO III

    Aisee hata mi nimejiongeza na nilikuwa na wazo hilo maana posta siwaamini hata kidogo!ngoja j3 niamkie huko!thanks buddy kwa ushauri wako
  14. G

    T

    Kama hamjaelewa si make kimya!mmelazimishwa kujibu?
  15. G

    kuhusu walioitwa kazini WEO III

    Wanajamii,kwa wale walioitwa kazini kwa nafasi tajwa hapo juu..je wenzangu barua zenu mmezipata kwenye box zenu za posta?maana mimi hadi leo sijapata.tusaidiane kwa hilo
Back
Top Bottom