Recent content by gkamugisha7

  1. G

    CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

    Suala la chadema kuanzisha TV na radio station ni msingi sana.Naomba ikumbukwe kuwa si raia wote wanapata fursa ya kuhudhuria mikutano na mikusanyiko mbalimbali aidha kusikiliza au kuchangia katika mijadala.Wengine kwa sababu za kijiografia, majukumu ya kifamilia, kikazi, maumbile (mfano...
  2. G

    Hi, am a new member!

    Hongera sana jamii forum kwa mchango wenu hasa wa kuelimisha jamii
  3. G

    GE2010 Can REDET poll claims be trusted?

    Nina mashaka sana na matokeo ya utafiti wa REDET. Sina hakika kama matokeo ya utafiti wao yametolewa kama yalivyopatikana. Hatahivyo naomba tusiyazingatie sana. Tujitokeze kupiga kura hiyo tarehe 31October kwani ni kura tu zitakazo amua nani mshindi. Mugisha
Back
Top Bottom