MAR082023CR-0003, jamani sipati majibu yakaribia Mwezi sasa. Nimeungiwa umeme lkn nimeanzia na tariff 2 badala ya kuanza na 1 kwa nini wkt wengine wameanzia 1 ila ukiwa na matumizi makubwa ndo unaenda tariff 2 inakuwaje hii?
Tanzania ya kidikitali wasiweke vikwazo vingi visivyo na sababu za msingi, we umesema utapitia vitambulisho vya NIDA sasa shida ipo wapi. Fomu tutajaza tu , kuwa na line zaidi ya moja ni kuangalia kwenye unafuu
Nimeshatumia dawa za aina nyingi lakini kuna kuhara kunapoambatana na tumbo kujaa gesi na wakati mwingine ukipata dawa sahii likapona kwa muda choo nacho kinakuwa kigumu sana na kupelekea maumivu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.