Recent content by gjohn

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Million 14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi?

    Ya napenda sana na nimedhamiria kabisa kitu nachoweza kufanya naweza kujitangaza kwa tv au magazine hata kwa miezi miwili nitajitahid kwan cku zote mwanzo ni mgumu ila kwa baadae unazoea na mambo yanaendelea ni kuwa tu na ujasiri na kuona kila kitu kitakuwa sawa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Million 14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi?

    Hapana cna frame bado ila nilickia naweza pata frame nzuri tu kwa 5mil
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yaua eneo la Tengeru, Arusha

    Ooh God.... polen sana wafiwa jamani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Million 14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi?

    Jamani wana Jamii, naombeni ushauri wenu kwa aliye na elimu ya biashara mtaji wa ml.14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi kuyatoa nchini China na kuleta hapa Tanzania?
Back
Top Bottom