Recent content by gizera josephy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wife akitoka ku do nje ana behave hivi

    Kutokuwa waaminifu kwenu kwenye ndoa ndio maana mwaona hata wenzenu sio waaminfu na kuanza kujiuliza mtawatambua vipi, tulizana.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wife akitoka ku do nje ana behave hivi

    utakavyo jibehave wewe ukitoka kutoka na mke wa mume mwenzio hata mkeo akitoka huko atabehave hivyo hivyo, wewe ukitembea na mke wa mtu waona sifa acha na wao wakuoneshee sifa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

    kaka ngalikihinja , uko juu, lazima tuwe na mitazamo tofauti sio kusema wanawake, nina wasiwasi na mtu huyu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

    Tatizo umeacha wengi ndio maana wataka ambaye utakuwa boyfriend wake wa kwanza.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

    Tatizo wakati mnawaonja wadada asubuhi huyu, mchana huyu, jioni mwingine, wakulala naye mwingine, wa kuja kufua mpya huwa mwajiona ninyi wajanja, yakisha kukuta wawaona wadada ovyo. je wakati mnawachangaya mbona huwa hamuwaambii kuwa wewe ni wa sita au wa kumi? kila mmoja wamwambia uko peke...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

    tatizo lako kaka hujatambua kuwa wewe una mengi na ya kutisha kuliko hata ya wanawake wote duniani , umekomaa na wanawake je mwanao wa kike wamsaidiaje asiwe kama hao wengine, tatizo c kusema, tenda yatakiwayo kuanzia kwa dadako then ulalamike.kwani wadada hawa huyafanya na nyani! kama sio na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

    kwa sababu hata wewe wapenda vidosho tota posta, gharamikia mkuu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

    sio kila mwanamke atafuta cha mfukoni, tatizo lenu mamen mwataka warembo so mtulie mchunike.kumbuka warembo sana sio waolewaji kwani hata kutunza familia hawajui.
Back
Top Bottom