Recent content by Gitifii

  1. G

    Naombeni ushauri: Rafiki yangu amehamia kwangu na mabegi

    Kuna mdada namfahamu na yeye bado anaunga unga ila mara mbili ilitokea hali kama hii ya kupata wageni mizigo kama hivyo, yeye anachofanya huwa hawafukuzi ila anaandaa mipango yake vizuri kisha anatafuta chumba mbali zaidi kisha anahama anamwachia mgeni chumba yeye atajua aongezee kodi au naye ahame
  2. G

    Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

    Dawa ya twiga ni dawa ya kwenye pamba ni kali sana kunguni hawawezi kustahimili, lakini mimi nili experience ikiwapiga hiyo wanakimbilia darini na kwenye taa
  3. G

    Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

    Charges zao pale sea view ni kubwa na NHIF hawako tayari kulipia na kuepusha migogoro hawapokei NHIF sio hao tu hata Saifee pale karibu na namanga nao hawataki NHIF na ishu ni swala la malipo hao jamaa ni wagumu kulipa
  4. G

    Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

    si ajabu miaka hii kirusi kipya cha covid kikaibukia tz maana itakuwa combination za variants nyingi zilizokusanywa nje
  5. G

    Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

    hahahaha van damme bwana ngono kama diamond
  6. G

    Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    hili jina toka enzi za msoga lilikuwa halikosekani kwenye misafara ya nje
  7. G

    Butiama: Misa ya Maandalizi ya kumtangaza Julius K. Nyerere kuwa Mwenye Heri yafanyika kuelekea kuwa Mtakatifu Nyerere!

    mwalimu pamoja na ukatoliki wake ila alikuwa mwamini mizimu ya kwao, uzuri Mungu apokei rushwa michakato ya kibinadamu haiwezi kumfanya Mungu amtoe huko kuzimu alipomtupa.
  8. G

    Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    tatizo aina ya misimamo yake haitakiwi kwa sasa, kwa hii trend inavyoenda inatakiwa kifanyike kila kinachowezekana kuhakikisha mtu anabaki magogoni kwa gharama yoyote ile regardless what hata kama ni kwa kuweka kila oil chafu kwenye position muhimu ili ndoto za mtu na genge fulani zitimie tu
  9. G

    Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    ULAFI WA FEDHA "SADAKA", UCHU WA MADARAKA, MAJUNGU, VISASI NA HILA CHANZO CHA MIGOGORO INAYOIDHOOFISHA MAKANISA YA KIPROTESTANT HUSUSANI KKKT. JE NINI KIFANYIKE? Na Remmy Cameroon Nimesema mara si moja na leo narejea tena kusema hili peupe. Zipo sababu nyingi sana za migogoro ndani ya Kanisa...
  10. G

    Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

    hata Malecela alikuwa anataka kufia kwenye ubunge mpaka kibajaji alipopindua meza japokuwa alikuwa waziri mkuu
  11. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    sawa mkuu ila ukihesabu kuanzia jumatano ya majivu tarehe 2/3/2022 siku ya arobaini inaangukia tarehe 8/4/2022 na pasaka yake 10. kwa tarehe ulizosema ni zaidi ya siku 40
  12. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  13. G

    Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Pale mbezi stand ya daladala kuna watu wanazinywa hizo mpaka wanatia huruma hasa wale wapiga debe wa mabus makubwa wamedhoofu sana na sura zimechakaa hasa
Back
Top Bottom