Ningependa mtu ambae ana link ya jinsi ya kulog in udom make kila nikijaribu inashindikana na nifanikiwa kuingizs taarifa zangu inaniandikia invalid username or password lkn taarifa ninazoingiza ni za kweli sa nashindwa nifanyeje na mda wa kuconfirm unakaribu nilikua naomba msaada mtu anielekeze
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
Habari wanajamii forums ningependa kuomba kwa wale wanaofahamu vigezo vya kusomea afya tofauti na md Kama unersi, phamacia,na mengine anisaidie jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.