Recent content by Gipie

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuwakimbia wapenzi wa kwenye mitandao ya kijamii siku ya kwanza kukutana nao

    hahahahaha uandishi wako umenivutia sana! eti swali moja majibu na riwaya yake sijui [emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye kadogooo si ndo wanaume mnapenda mnasema easy to carry
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wahindi na waarab Facebook

    fb kuna wateja kuliko instagram, kwasababu instagram lazima uwe na followers wengi au ulipie matangazo kwnye pages kubwa bt fb unapost kwnye grups tuu na zipo nyingi sana, huwez kosa wateja.so usingefuta acc yako ungeitumia kujiunga na grups.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wahindi na waarab Facebook

    from my experience wateja fb wanapatika sana kwnye grups za kuuza na kununua na sio kwnye page yako.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    kutokua na akili ndo majaliwa yangu mkuu! bila mimi kutokua na akili ungejuaje kma wewe unazo?? kazi za Mungu zipo mbili mbili.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    aipate mara ngapi? kashaipata kwangu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    source ya income yao ni nini ad wanakua na mawe hivyo? kwa daslam wanapatikana wapi nikajilipue mie nmechoka kukopwa [emoji23]
  7. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    [emoji23]naweza nikampata hapahapa tena nikavunja rekodi ya cheusi mangala! usinikatishe tamaa dyadya
  8. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    mhhh nyota njema huonekana asubuhi.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    kunishushua hivyo ad unachapia vipi kwema?? ndo natamba af nnayo! next[emoji113]
  10. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    [emoji23][emoji23] mbabaishaji yule
  11. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    nimekuelewa vizuri sana mkuu. swali lingine familia ya mke wako walichukuliaje swala la wewe kutolipa mahari?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    sijui wanakwamia wapi[emoji23][emoji23]kweli usililie uzuri lilia bahati
  13. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    mang'ombe 520 sijui, magari v8 siju ngapi na milion ishirini juuu ongezea kuolewa kwa mahari kubwa ni bahati ya mtu
Back
Top Bottom