wewe hujajibu swali langu. ukiwa shortlisted si ndo utapigiwa simu kuja kwa ajili ya interview? sasa nataka nijue huwa inachukua muda gani kutoa majina ya shortlisted candidates. ili kama muda umepita niendelee na safari yangu na kama bado, nivumilie kwanza huenda nikaitwa nisije nikaharibu hela...
Sawa, asante kuchukua muda wako kunijibu.. Ila sasa nataka kusafiri. Kwahiyo nikijua angalau huwa inachukua muda gani..ntaweza kufanya maamuzi sahihi juu ya safari yangu..
Mambo zenu, wakubwa shkamooni.
Nimeapply nafasi ya kazi ya TA Chuo Kikuu ARDHI. Naomba mnisaidie kwa yeyote anaefahamu, huwa inachukua muda gani kuita shortlisted candidates kwa ajili ya interview?
Asanteni, mbarikiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.