hahahaha! tatizo wameisha gundua ya kwamba watanzania wengi wanapenda kuahidiwa hata kama ni pumba! kwahiyo tuwachukulie kawaida coz hawajagundua kwamba watanzania huko walishatoka! hapa ni kuwaombea kwa Mungu awasamehe dhambi zao hasa dhambi ya ufisadi na uongo.
viongozi bora hawapatikani kwa dini zao, sura zao au kuongea kwao sana! la kiongozi bora anatokana na sera zake na, mipango madhubuti ya kutekeleza sera zake na je baada ya kuwa kiongozi ametekeleza sera zake na kama ametekeleza ni kwa kiwango kipi? hebu tujipe muda wa kutafakari na kufuatilia...
tatizo kubwa bado watanzania wengi hasa walioko vijijini wanaamini ccm ni chama kilicho wazaa, lkn hakika tukiendelea na mtazamo huu maendeleo tz ni kichwa cha mwenda wazimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.