Recent content by Giles

  1. G

    Siasa zetu

    Ili siasa yetu iwe kweli ya kidemocrasia na haki, isiyo na fujo za kila aina, ningependekeza tufute bendela za vyama. Wote tutumie bendela moja ya TAIFA tu. Hii itatuweka pamoja pasipokujua itikadi ya mtu. Mtu mwenyewe atabakia na siri au dhamira yake mwenyewe. Lakini pia tupige marufuku sare...
  2. G

    Tanzania maintains solid growth but poverty remains widespread

    We have multiple solutions of diminishing poverty in our nation; 1. The government must establish the new system of tax collection such that, those people/organizations/institutions etc which gain more revenue should pay higher tax related to their profit. And this tax should be collected in a...
  3. G

    Helloooooo!

    Kwa vile serikali inataka kuwawekea kodi mpaka wale wenye biashara ndogondogo, basi inawabidi pia watoze kodi wezi, majambazi na vidokozi maana wanajipatia kipata kutokana na kazi zao. Labda hili linaweza kuongeza kipata serikalini (GDP).
Back
Top Bottom