nawe uliye toa una mapungufu sana kama ulijua ni kosa kwann uliamua kutoa hiyo pesa mtoa rushwa na mpokeaji wote wametenda kosa halafu unajisifia ungepelekwa ungelalamika sana acheni siasa chafu
wamesema subilin hadi wiki ijayo usalama wa wiki hii si mzur sasa wao wanataka kwa nguvu kwann wassikilize zeni ikifika siku hiyo wayafanye na kupewa ulinzi elewen sio kulaumu
jamani voda mmekua wez mbona mafuta yamepungua bei inakueje mnawaibia watanzania tunadhani esclor ni viongoz pekee kumbe na nyie mmo achen rudisheni zile bundle mlizopungua msidhan tunafaidi kitu
jitahidin kutumia haki na uajibikaji wa selikal hili swala ni la mikopo ya elimu ya juu maana ni mamlaka inayo jitegemea kwa akil ungesema na hawa wa digreee wanadai hapo ingeleta sura tofauti sana sasa wanachokitaka wakubwa zao walishaona inafaa
tatizo hao ni promoshen wanasaidiwa tu ili wapate ajira vinginevyo wangekuwa mtaan wajitambue si kila kitu ni mtelemko 7500 inatosha kulingana na koz wangekuwa ni digree labsa wangefikiliwa
wewe naona akil haijakomaa na haina utasho jione upya kama upo vizur hilo si jambo la kuoanisha mateso ya wanafunz na ufisad pamoja na vyama usiwe bora mtanzania jitahidi kuona ni mambo gan ya kuchangia acha wapate stahki zao japo njia ya kugoma bil ruhusa si salama kwao
sakata escr na katiba ni mambo tofauti tusiwe na ujinga watanzania wa mawazo wakati unasema nchi yako imeuzwa bas ukumbuke na matukio yanchi nyingine hasa misri ikivyo chafuka sababu ya ujinga wetu binadamu hasa waafrika
sisi tatizo letu watanzania wepesi wa maneno sana ila ni wagumu wa mawazo jambo likitokea huwa ni la hapo kwa hapo linakwisha na mtu akikosa solution yetu ni kujiudhuru badala ya kuachia mamlaka zinazohusika zenyewe kuchukua hatua
yawezekana unasema sheria imevunjwa sawa lakn sio kwamba ukitenda kosa huto adhibiwa lahsha kinachosemwa ni kwamba kama kosa limefanyika bas lichukuliwe hatua stahiki kwa kuangalia maslah ya baadaye kama muhongo unaweza jiuliza kwann hajachukuliwa hatua mapema iwezekanavyo maana kuna mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.