Recent content by gikaro

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada:kuhusu biashara y nguo vijijini

    Hallo naomba kuuliza nguo za watoto dar zinapatikana sehem gani na bei zikoje kwa jumla naombeni msaada wakuu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabishara wenzangu hali ya biashara ipoje?

    Kwa kweli hali siyo nzuri sana japo mfumuko wa bei ndo tatizo ,maana bidhaa nyingi sana zinatoka nje sasa inakuwa ni ngumu sana kukabiliana na hali hii . japo ni 1. Kutunza mtaji kama hata ni Mdogo bila kuingilia biashara nyingine 2 . kuwaza na kuendeleza mazuri unayo yaona katika biashara ...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

    Mkuu nakushauli kopa maana malengo unayo ww tu mwenyewe na uoga wako ndo umasikini wako ,na ukikwama Leo hii Mimi sitakusaidia kabisa chochote kile na ukiendelea ni faida kwako na familia na nchi pia na pia ni kugundua changamoto tunazopitia wafanyabiashara mbalimbali kwa kila siku mkuu , chukua...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Mkuu ,pole sana changamoto ni nyingi sana ,ila ningekushauri ukaanze hata certificate kulingana ulivyofaulu hususani kama ulifaulu science , au anza na ulichonacho mkuu ,usikate tamaa.
  5. G

    JamiiForums Tanzania CPA

    Yawezekana amesema tu a c mhitimu wala wa chuo kikuu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania CRDB, NMB na other local banks acheni kulala

    Hivi ukitoa kwa ATM nje unakatwa sh ngp? Bank ya CRDB?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nipate wapi kitabu kizuri cha ujasiriamali hapa Mwanza?

    Asante sana wana jamii forum maoni yenu ni mazuri zaidi na nimeishaanza kuyafanyia kazi , samahn kwa wale ambao tulishindwa kuelewana ,
  8. G

    JamiiForums Tanzania UDSM online learning

    Ni nzuri kabisa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nipate wapi kitabu kizuri cha ujasiriamali hapa Mwanza?

    Asante sana , kwa mawazo yenu wakuu nimejifunza jambo barikiwa.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nipate wapi kitabu kizuri cha ujasiriamali hapa Mwanza?

    Hayo ni maoni yako,speechless.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nipate wapi kitabu kizuri cha ujasiriamali hapa Mwanza?

    Ninauliza wakuu, nisaidie ili nijue sehemu wanakouza vitabu vya ujasiriamali namna ya kufanikiwa. Niko hapa Mwanza na kama unajua bei yake nambie nitashukuru endapo wadau watanisaidia kujua hili jambo.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Biashara ya kuwekeza, kwa Tsh 2 million (Mwanza)

    Maana. Niko mwanza ilemela unaweza kunicheck I box
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Biashara ya kuwekeza, kwa Tsh 2 million (Mwanza)

    Waliotoa mawazo ni mazuri, lakni changanya na mawazo yako mkuu ,Mimi nikuulize je umesomea nn ili nikusaidie mkuu?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kijana, hii ndiyo siri bora kabisa ya kuwa tajiri, kafara yake haina madhara

    Naomba na Mimi nichangie ili utusue lazima ujiajiri hata kama bado umeajiriwa kwa sababu ukifanya hivo na una mtaji wako, na biashara utafanikiwa na kuwa na heshima sana na pesa, usifanye mambo ili kufurahisha watu ,kama kutoa pesa, hivyo hivyo, na kumbuka pia kuwasaidia wazaz na familia kuijali...
Back
Top Bottom