Nimebahatika kuiona katiba ya ACT toleo la 2015 mahali fulani. Kipengele cha sita kinasema:
6. Uamuzi wa kumfukuza mwanachama yeyote hautakuwa na nguvu hadi pale uamuzi huo utakapokuwa umewasilishwa kwa maandishi.
Nani na kikao gani cha kutoa uamuzi wa kuwafukuza uanachama Zitto au Seif ndani ya...
Hili linashangaza! Siamini hii ndio katiba ya ACT (toleo la mwisho lililohaririwa). Angalia kipengele cha tano kina makosa mengi sana ya kiuandishi. Pia huo msitari wa mwisho uliokatwa hapo inaonekana una utaratibu maalumu wa kufukuza wanachama kupitia vikao maalumu vya chama! Hebu wekeni...
Nimemsikia sauti yake. Imekuwa na mkwaruzo fulani na ingeweza kukauka angeendelea na kampeni kwa wiki hivi. Apumxzike kidogo. Chadema wabuni njia mpya ya kuwafikia wa-Tz wote. Kufungiwa kampeni kwa siku 7 ni kufanyiwa 'promo' ya bure. Wasipoteze muelekeo waanze kupambana na vyombo vya dola huku...
Kumzuia Lissu kufanya kampeni ni kumfanyia kampeni kupitia vyombo vya habari nchi nzima. Ni mjinga tu anayeweza kuandamana kupinga hiyo 'promo' ya bure kabisa iwe halali ama batili.
Kweli kabisa. Lissu 'chill'. Umefanya kampeni ya nguvu huku ukiwa na furaha tele. Haya yanafanyika kukuondoa kwenye reli ili wewe pamoja na Chadema muanze kampeni za fujo kupambana na polisi. Kusimamishwa kampeni ni kampeni tosha kwako.
Wewe ni tishio! Hiyo ratiba ya hizo siku saba za...
Bahati nzuri sheria inajieleza vizuri sana. Ukifuata vipengele hivi vya Tume huyu mkurugenzi wa Tume Mahera ameshahukumu tayari kwa kupitia kipengele 5:11c
Kwenye kumuita Lissu akajieleze kamati ya maadili naona Mahera na Tume kwa ujumla wanajiaibisha na kujiweka wazi kuwa wako upande wa mgombea fulani. Magu ameshafanya makosa mengi ya wazi yanayohusu sheria zilizotungwa na NEC na hawajaongea wala kuonya!
Mahera anashikilia nafasi nyeti ya kitaifa. Na alitakiwa aonyeshe yupo 'neutral' wakati anatoa tangazo la kumuita Tundu ajieleze. Naona ametoa tangazo kwenye vyombo vya habari kwa papara na hasira na hiyo imeleteleza kujianika wazi kuwa ana upande. Mbona hakukasirishwa na mgombea kujinadi kwa...
Ha ha ha Wana_Lumumba. Hamna hoja na sera na mmeshapoteana!. Kipindi Lowassa anagombea mwaka 2015 mlikuwa na hoja nyingi dhidi ya wapinzani kwenye hili jukwaa.
Sauti bado ndogo sana kwenye hili ingawaje Lissu kaligusia. Mwangwi wa hili unatakiwa kuwa mkubwa sana. Hawa wateule wakikalishwa kitako na Mkulu huwa wanaenda kufanya mambo ya ajabu sana yatayoharibu uchaguzi wooote. Rejea kiwango cha madudu yaliyofanywa na makatibu kata uchaguzi wa serikali...
Kila lenye mwanzo lina mwisho. Nilitegemea huyu Dr. Lugemeleza Nshala (rais wa TLS) atoe ufafanuzi wa kisheria kama Bi Fatma Karume ametendewa haki ama la. Kumbe nguvu yote hii ya TLS inatumika kusema eti si kamati hii bali ni kamati hii iliyomfutia uwakili Bi Fatma Karume. Hatuna TLS tena!
Acha chuki zako zisizo na msingi kwa Zitto na ACT. Wamejitahidi kimkakati kutogawanya kura. Ndio maana Membe hajaenda na viongozi wa ACT kuomba kura sehemu ambazo ACT inanguvu kubwa kama Kigoma, Mtwara, Tanga, Pemba na Zanzbar. Lissu ni " genious" (sio mbinafsi kama baadhi ya viongozi na...
Nimesoma hicho kifungu cha sheria husika na pia barua ya msajili wa vyama. Barua ya msajili wa vyama inaonya kuhusu "ushirikiano" wa vyama lakini kifungu cha sheria ya vyama vya siasa kinaongelea "muungano" wa vyama.
Barua aliyoandika msajili imepotosha sheria kwa malengo ya kukibeba chama...
Inaonekana rufaa zote zimekataliwa na hii TumeCCM hapo Mbeya mjini (Mahera anajua fika CCM haina chake Mbeya). Na imenishtua sana hapo Babati mjini eti rufaa nne za wagombea ubunge walioenguliwa kutoka vyama vinne tofauti zimekataliwa. Huu ni mpango mkakati wa TumeCCM kumpitisha msaliti Pauline...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.