Badala kujadili hoja watu wanamjadili bin zuberi. Rage hana usafi wowote wa kumtosha kuwachafu wengine.ile kutiwa hatiani tu kwa kosa la wizi tayari imemtia doa hata kama alishinda rufaa.halafu kesi nyingine ya kutiwa hatiani kwa kupanda jukwaani na bastola kule igunga ambapo alitozwa faini tu...
yanga wanaimarisha defence yao,umri wa canavaro miaka 30 sasa atahitaji kupumzika baadh ya mechi.isije kutokea kama last year alipochezeshwa mechi na coastal union akiwa na redcard na timu kunyang;anywa points.suala la mbuyu twite ni fundisho kwa aden rage kwamba mambo ya usajili awaachie wadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.