Ni kweli mbuyu twite amesajiliwa na yanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli mbuyu twite amesajiliwa na yanga?

Discussion in 'Sports' started by matambo, Aug 11, 2012.

 1. m

  matambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimesoma kwenye blog ya Mahmoud Zubeiry mmoja wa waandishi wa habari wanazi wakubwa wa yanga kwamba beki Mbuyu Twite aliesajiliwa na Simba toka APR amesajiliwa na Yanga, wamembadilisha uraia wake kutoka unywarwanda aliopewa kurudi Ucongo wake wa zamani, pa wanadai kasajiliwa toka FC Lupopo na sio APR

  kama ni kweli na pia kitendo cha TFF kuongeza siku za usajili bila kueleweka, knaashiria ni jambo lililofanywa kwa kifua cha TFF, kweli inapofikia hatua viongozi wanapindisha kanuni kwa manufaa ya mioyo yao, maana twajua Tenga rais, Angetile katibu mkuu, kina said kawemba wote wanzi wa yanga na wamefanya haya kuisaidia Yanga

  habari zaidi soma hapa BIN ZUBEIRY

  upuuzi mtupu hapo TFF
   
 2. m

  makumvi Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari za Twite kusajiriwa yanga zimezagaa kila kona, hata baadhi ya magazeti yameandika kuwa yanga walimpandishia dau kubwa baada ya kuona dau la simba ni dogo, lakini sasa hapa tunapata picha gani kwa yanga kufanya hivyo ? nikweli wanamhitaji twite au wanataka tu kuokomoa simba ? kama hizi habari zinaukweli basi soka la bongo linaenda mrama, haiingii akilini kuona timu hizi2 zinazoheshimika katika jamii tena zinakuwa ndo chanzo cha migogoro ya soka.
   
 3. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mimi ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri sana wa Blog za michezo za hapa Tz Bin Zubeiry ikiwa ni mojawapo,toka nimeanza kuijua hii blog sijawahi kuona dalili zozote za mmiliki wake kuwa na mapenzi na Yanga,kweli anaweza kuwa Mpenzi wa Yanga lkn uandishi wake kwa kiasi kikubwa huwa unafata ethics za tasnia hiyo ya uandishi wa habari,kwahiyo acha kupotosha watu..Mwandishi kuandika habari ambayo inakuumiza moyo siyo sababu ya kuharibu reputation yake mbele ya Jamii kwa kumbandika unazi wa team fulani ili tu kumtengenezea maadui kutoka upande wa 2,huo siyo ujanja.
   
 4. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Mbuyu Twite amesajiliwa na Yanga kwa milioni 75. Simba kumbukeni usajili mwisho Ijumaa
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwajuza tu habari za Twite kusajiliwa na Yanga hazijajulikana leo,habari hizi kwa sisi tuliojaliwa uwezo wa kuzipata habari za mapema kabla wengi wenu hamjaanza kuzisoma kwenye magazeti tumezijua toka juzi wakati habari za kuongezwa muda wa kufungwa kwa pazia la usajili zimetolewa jana,sasa mtu unawezaje kuhusisha suala la kurefushwa kwa muduperSa wa usajili na usajili wa Twite Simba sijui Yanga?
  Hata gazeti la SuperStar la jana lilitoa habari hii,jambo ambalo liipingwa sana na Msemaji(ovyo) wenu Kamwaga.

  Wapenzi na Wanachama wa Simba,tafakarini na kuchukua hatua hao viongozi wenu washawaona "MABOYA"
   
 6. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Simba inaongozwa ki-CCM CCM tu. Rage aliogopo kumwagwa siku ya mkutano wa Simba ikabidi adanganye kwa CCM style:

  1. Kadanganya kumsaini Twite wakati anajua ni uongo (over CCM vile)
  2. Yondani ni wa Simba na tunatoa siku 5 kwa Yanga kutoa milion 60, vinginevyo - blah, blah (over ahadi za JK vile!)
   
 7. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hayo yote Wanachama na wapenzi wa Simba hawayaoni,eh.....asante MUNGU kwa kunifanya mimi si mmoja wa Shabiki wala Mwanachama wa Simba,huenda na mimi ningekuwa ni mmoja wa waliorogwa.
   
 8. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Huyu Usemacho ww..

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mwache aje kula bata Jangwani.
   
 10. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Blog inayoaminika hapa bongo kwa news za michezo ni ya Shaffihduda tu....hawa wengine wanaleta siasa kwenye habari za michezo....
  Kwangu mimi nitaanza kuamini pale shaffidauda in sports itakapoweka habari hii...
  magazeti mengine yanatafuta kununuliwa tu....hawana lolote.....
   
 11. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Haya relax then, why bother, wakati Shaffih ameshaweka toka jana habari ya Msemaji(ovyo) wenu Kamwaga ya kukanusha?
   
 12. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160

  Ok...umeshinda kaka
  Tuma salamu kwa watu watatu...
   
 13. G

  GIDMAL New Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yanga wanaimarisha defence yao,umri wa canavaro miaka 30 sasa atahitaji kupumzika baadh ya mechi.isije kutokea kama last year alipochezeshwa mechi na coastal union akiwa na redcard na timu kunyang;anywa points.suala la mbuyu twite ni fundisho kwa aden rage kwamba mambo ya usajili awaachie wadogo zake,mbona yanga usajili unafanywa na binkleb na seif magari?inakuwaje rage anatoroka bungeni kwenda kigali kumsajili mbuyu twite?lazima kulikuwa maslahi binafsi hapo
   
 14. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa anayezijua sheria za usajili anijuze hivi kama ni kweli Twite alisaini simba kwa 45m na baadaye akasaini yanga kwa 75m hapo sasa itakuwaje naomba kwa anaye jua anifahamishe itakuwaje hapo
   
 15. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Kifupi aliye matatani ni mchezaji.. Kwa kutia saini kandarasi ktk klabu mbili.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu matombo kama unataka mambo ya unazi soma blog ya bin zubeiry ni balaa tupu.. mwanzo mwisho unazi..
   
 17. m

  matambo JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ni kweli aisee, mi nimemfuatilia aka mingi iwe kwenye bngwa, mtanzania, dimba kote huko mpakakweny hii blog yake, jamaa kanywa maji ya bendera kwelikweli, halafu nshaaa dogo Anselm anamtetea
   
 18. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Anaweka mazingira ya nafasi ya sendeu.. Ngoja kandarasi ya sendeu iiishe

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 19. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uwezo wa viongozi na benchi la ufundi la Yanga kwa kufikiri ni mdogo, wanasubiri wataalamu wa Simba wapointi nani mchezaji mzuri na Yanga wanamkimbilia huyohuyo. Huo ni uzembe na Uwoga mkizani Simba ikisajiri vizuri mtashindwa kupata mwanya walau wa kuifunga; fanya muwezavyo lkn kichapo kwenu hakiepukiki.
   
 20. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya mna akili nyie mliosajili ngassa kama kisasi kwa yanga kumtwaa yo-nje.
   
Loading...