Recent content by Gidion Kahola

  1. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    natambua kama kazi hi si ndogo lakin niko tayari kuwatumikia wananchi wa iramba na si muda utanisikia mana tayari kuna watu wengi wa sehemu mbalimbal apa iramba wananifahamu vizur. Usiwe na shaka twende kwa pamoja kuikomboa iramba
  2. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    maendeleo ni mchakato mrefu na unahitaji mtu makini wa kuyasimamia, na sehemu yeyote ili maendeleo yaje lazima kuwe na uongozi imara ambao hawana masilah yeyote ktk sehemu hyo lkn kwa iramba ni tofauti wabunge wamekuwa kwa kutetea chama na kunufaika wao binafsi na si wananchi wao, iramba ina...
  3. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    sina nia hiyo na wajibu wangu kujibu hoja za watu wala usiwe na haraka kila hoja lazima nitolea ufafanuzi wa kutosha.
  4. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    mim ni mpinzani na naamini huku ndio sehemu nzuri ya kuwatumikia wananchi wa iramba, mana toka uhuru wabunge wote waliopita ni wa ccm lakini hawajawasaidia wananchi masikini wa iramba.
  5. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    ilikuwa kumjibu tu na wala sio kama kuna ukabila wotewote
  6. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    tile ka shida mbwane ee matungo angamapike nikamuela duu
  7. G

    Natangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi

    Nina matumain makubwa ya kuendeleza jimbo la iramba magharibi katika elimu, maji na huduma za afya za uhakika! Najiamin na pia nina elimu ya kutosha. Wabunge waliopita wa iramba magharibi hawajasaidia jimbo na matokeo yake wamekuwa kwa masilahi yao binafsi na chama, kuanzia kwa ndugu KIULA...
  8. G

    Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

    Woga ndio dhambi mbaya hapa duniani - Lema
  9. G

    Mgombea wa CCM kata ya Kimandolu Arusha anafanya kampeni ya kikabila

    CCM wameishiwa sera na sasa wanajificha kwenye pango la udini na ukabila
Back
Top Bottom