Recent content by gideonbooty

  1. G

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mnajua mafuriko? Watu wamekalia viti bado sana hii robo kwa lowasa
  2. G

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Unajua mafuriko....watu wamekaa kwenye viti mafuriko gani
  3. G

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Tunataka picha ya juu tuone vichwa au ccm hawana kamera za kisasa
  4. G

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Leo ccm wanazindua kampeni umeme upo kila kona
  5. G

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya wazi kwa Humphrey Polepole

    Pole pole sio prof huyu njaa tupu na record za kijinga anatamka maneno ya kijinga kwenye TV Malaya!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Polepole nini maoni yako kuhusu uamuzi wa Sumaye?

    Polepole kwishaa habari alikurupuka baada ya kujiona maarufu tokea msigwa ambananishe kajificha mazima
  7. G

    JamiiForums Tanzania Voice of America wanamjadili Lowasa(UKAWA), karibu uone mjadala Star TV

    Huyu jamaa Wa ccm mbona lugha inamshinda simpati fresh
  8. G

    JamiiForums Tanzania ITV yasalimu amri

    Katika hali isiyokua ya kawaida Leo kituo bora cha ITV kimeshindwa kuripoti habari yoyote kuhusu ukawa huku ikitoa habari za chama cha mapinduzi peke yake,Leo kulikua na matukio mengi makubwa ikiwapo edwadi lowasa kula kiapo mahakama kuu lkn hawajaripoti wakashia kuripori za makofuli...
Back
Top Bottom