Recent content by Gideon Anyona

  1. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ondoa RC Tabora na DC Nzega, hawajitambui

    Mkuu wa Chuo kafanya nn?
  2. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli atembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino

    Very impressive from a leader
  3. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Reli ya Standard Gauge kutoka Dar-Mwanza kuanza kujengwa Disemba, 2016

    A good step forward
  4. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    RIP TABORA HERO
  5. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Powa chief Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  6. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Umeona kichwa cha habari ya hii taarifa lakini mkuu? Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  7. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Ni wazo zuri lakini ni gharama pia kutoa matangazo kubandika kila sehemu. At the moment tu rasilimali fedha ndogo sana na majukumu ni mengi. Tunawanafunzi wengi yatima , tunawagonjwa na majukumu mengi kwahiyo kila shillingi tunaitumia ipasavyo. Kikubwa lazima watu pia waamke. Uwezi tafuta...
  8. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Ugawaji utaanza wiki ijayo kama ratiba haitabadilishwa. Kikubwa ni mjaribu kuchangakia fursa na kama upo Nzega itakua vizuri sana
  9. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Tupo. We uliza swali utajibiwa.
  10. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Napenda kuchukua mapendekezo yenu yote na tutayafanyia kazi kwa ukamilifu Asanteni -Katibu
  11. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Changamoto kubwa ni jinsi gani matangazo haya yanaweza kutunzwa pasipo kuaribiwa kwani uzoefu unaonyesha watu upendelea kuchana matangazo sana
  12. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Picha ya kwanza ni madarasa ambayo yamejengwa Bulunde Secondary kwaajili ya kidato cha 5&6 Picha ya pili vijana wakikopeshwa bodaboda kwa gharama nafuu katika jitiada za Mh Mbunge kukuza sekta ya ajira. Picha ya tatu Mh Mbunge akishiriki zoezi la kuhamisisha kukata Bima ya Afya ambapo bodaboda...
  13. Gideon Anyona

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Taarifa ya mwezi wa tatu hadi mwezi wa Tisa mwaka 2016 juu ya shughuli mbali mbali zinazofanywa mojakwamoja na Ofisi ya Mbunge na Halmashauri ya Mji wa Nzega. __________________ Ni takriban miezi tisa sasa tangu Mh Mbunge Hussein Mohammed Bashe apewe ridhaa na wananchi wa jimbo la Nzega mjini...
Back
Top Bottom