Recent content by GIDE500pi

  1. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mkuu mzizimkavu unapatikana wapi? Nawezaje kupata tiba zenu za asili ?
  2. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mkuu samahani kama hutojari nipatie namba yako tuwasiliane , asante sana
  3. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mkuu shukrani sana, ntashukuru sana ukinifahamisha huo mti, samahani pia upo mkoa gani?
  4. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Omeprazole , tripple therapy Pesa kiasi gani? Na hospital gani ipo vizuri kiongozi nipo dar es salam
  5. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mkuu nimeshatumia sana dawa as hospital yaani tafrani tu ndo maana nimekuja humu
  6. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari za huku waungwana, ninasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo mwenye kufahamu tiba au ushuri natanguliza shukrani
  7. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwenye kufahamu Tina au ushauri natanguliza shukrani
  8. G

    Tunauza Mbuzi wa maziwa

    Mkuu habari yako? Nina vidonda vya tumbo vinanisumbua mno, tafadhari naomba unipe muongozo, natanguliza shukrani
  9. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari zenu waungwana, binafsi nina tatizo la vidonda vya tumbo linanisumbua sana kwa ambaye anafahamu tiba au mwenye ushauri madhubuti msaada. Natanguliza shukrani.
  10. G

    Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

    Ndugu zangu nitangulize samahani kwanza kwa kuvamia mada, nafanya hivo sababu nashindwa kupost, Mimi biñafsi nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa anayefahamu Tiba au ushauri madhubuti anifahamishe tafadhali
  11. G

    msaada wa DICTIONARY

    kaka tafadhal naomba nisaidie kunitumia hiyo dictionary nashida nayo kwelkwel email yangu ni (gideonedward50@gmail.com)
Back
Top Bottom