Recent content by Giday

  1. Giday

    JamiiForums Tanzania Je, biashara 2 tofauti zinahitaji TIN number 2 tofauti?

    Kama mumiliki ni yule yule huwezi kuwa Na TIN namba nyingine ndugu. Hapo utapata makadilio kwa tin ile ile Boss
  2. Giday

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Aisee, nimeipenda sana ila kuna kitu ningependa kujua zaidi ww unafungua ofisi na yote mengine unayofanya juu ya biashara hii. Je? once unafanikiwa kumuinroll mtu kwa biashara hii unapata commission? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Giday

    JamiiForums Tanzania HADITHI

    Dilemma Hodi iliyokuwa inagongwa kwenye mlango wa nyumba yangu ilikuwa ikiniboa. Nikawa nikishangaa nani anaepiga hodi jumanne hii asubuhi wakati muda kama huu huwa nakua kazini. Nani anaejua kwamba nimepewa likizo nipumzike kidogo? Nilikuwa nimeshamaliza kuongea na mama. Na alikuwa...
Back
Top Bottom