Recent content by GIDAMOYA

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kauli ya waziri Lukuvi baada ya kuzomewa Bungeni, inaonesha anajua wauza unga, atutajie vinginevyo..

    Wewe una mtatizo ya kiakili, Aweda anahusikaje na maandamano ya chadema? Kwani yeye ni kiongozi wa kitaifa. Aweda alikuwa anazungumzia msimamo wake wa kulipua mambo hapa jf hata kama ni mambo ya hatari. Na desturi yake amekuwa akileta mambo mazito kutoka magazetini na mengine kutoka kwenye...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wenje akamatwa na polisi

    policcm
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Kweli mkuu, Hata hawa waleta mada, wahariri na mwakyembe wanahitaji maombi.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Siri ya kichapo cha CHADEMA kwenye chaguzi za serikali za mitaa Dsm zaanza kuvuja

    ILA kusema kweli Aweda uko juu sana KAMANDA.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Mkuu, umemsahihisha vizuri kuhusu mahali Aweda alipotoka. Anapomnasibisha Aweda na Slaa nadhani alilenga zaidi tabia hii ya Aweda ya ujasiri wa kulipua mada yenye risk kubwa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Mwakyembe, Aweda na wahariri wa Gazeti la Jamhuri Mungu awe nanyi siku zote.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Very interesting indeed. We need God
  8. G

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuamini nilichoona ziara ya Mbowe mkoani Kagera!

    Majibu unayo, Chadema ndo mpango mzima.
Back
Top Bottom