Recent content by Gidamnyoda

  1. G

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    Hongera mzee wa visungura kwa kuchangia pato la taifa johnthebaptist
  2. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    Badala aseme hiyo ilani yao amekazana kumzungumzia Mbowe,. Nje ya mada jamaa limefuga kitambi mpaka linashindwa kuzungumza vizuri
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

    Umei_undermine Russia sana, halafu Trump na Putini wanaongea lugha moja japo mainstream media zimekudanganya kua hawaivi, Chini ya rais Trump Dunia itakua salama na amani zaidi. We jamaa kumbe kwenye uga wa kimataifa ni mweupe hvyo.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hapa sasa ebu ona yeye ndio wewe

    Visungura vimepanda kichwani.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Kajipatia mileage ya kutosha akiitumia vizuri na naamini atafanya hvyo kwa kua ndio eneo lake la kujidai basi atapiga hela za kutosha. Niffer collection Niffer lingerie Niffer perfume Niffer restaurant Niffer smartphone Niffer agro machinery Niffer dairy milk Niffer automotive Niffer carwash...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza Saa 24 kwenye uokoaji Kariakoo

    Bongo ukipata chance ya kusepa usirudi tena.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kutangazwa hadharani wajumbe wa kamati nzima ya uchunguzi majengo Kariakoo ni kosa la kiufundi

    Show imeisha kabla haijaanza
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

    Nilitegemea awe tayari kashachukuliwa maelezo, kumbe hata kumwita bado
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naamini hii njia ikitumika haifiki saa 10 jioni kifusi chote pale Kariakoo kitakuwa kimeisha na walioko chini watakuwa wametolewa

    Mwendo wa Karai, ndoo, grenda ,tindo, nyundo kila upande ni kuchoronga na kuzama kifusi kingekua kimeisha na njia kupatikana
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

    Unatumia njia ndefu sana mkuu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hii video inasikitisha sana

    Dah! the man confront the fragility of life
  12. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kujiuzulu, kitengo cha majanga kimemshinda

    Pressure ya umma ni ndogo sana hakuna mtu atawajibika wala kuwajibishwa ndio imeisha hvo.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Kenya asema biashara na China imeboresha maisha ya Waafrika

    Simu za China zimesaidia sana kurahisisha mawasiliano
Back
Top Bottom