Recent content by Gidamaa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni Sheria ipi ina mruhusu kiongozi wa TUCTA kugombea nafasi ya uongozi CCM?

    Umuofia kwenu Napenda kufahamishwa ni sheria ipi inayompa ruhusa Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA Kugombea nafasi ya uongozi CCM. Cornel Boniphace Magembe ni Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA kwa Sasa ila pia amechukua fomu ya Kugombea nafasi ya Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kupitia wilaya ya Magu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Nadhani hawataendelea tena, Kitajachofuata Ni kuleta barua zao humu... Naomba ukimya. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wakuu wa Shule Manispaa watangaza Mgogoro na DC wa Tabora Mjini Mh. Eric Komanya Kitwala

    Kwa Nini iwe Yeye kila siku? Mbona kuna Na DC wengi Nchi hii hatuoni wakilalamikiwa Kama huyu? Si ajirekebishe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

    Mimi naunga Mkono mawazo ya Mwambe, hakika fedha za Ruzuku zinatakiwa kusimamiwa vyema kwa ustawi wa Chama, leo mnawabunge 2020 hamtakuwa nao wengi hivyo Kama mliowapata 2015... Hivyo Chama kilitakiwa kujipanga hata kuanzisha miradi ya kiuchumi ili kisije kutetereka wakati wa njaa... Kwa Miaka...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Tabora ndugu Erick Komanya Kitwala hana maelewano na mtumishi yeyote ndani ya wilaya anayoiongoza

    Nasikia alishawavuruga Sana Wilaya ya Magu, na huko ndio kwao...... Anajisifu kuwa ameleta Ambulance, X-RAY Machine, ametoa eneo bure la Ujenzi la Mradi wa maji wenye thamani ya 16Billions na ushee,... Yaani akinusu serikali inampango flani anakimbia kusema.... Mpaka kumkosoa DC wa Magu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Tabora ndugu Erick Komanya Kitwala hana maelewano na mtumishi yeyote ndani ya wilaya anayoiongoza

    Anataka kugombea Jimbo la Magu sio Kwimba Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Kama Ni senior hivyo Mbona Hana barua ya TAMISEMI, Barua ya aliyonayo Ni ya REO... Hawezi kwenda Popote
  8. G

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Baada ya kupitia Mjadala huu Ushauri wangu kwa DED Magu, Ndugu; Lutengano Mwalwiba... Nakuheshimu sana kwa usikivu wako, uhodari, ubunifu na uchapa kazi wako ukiwa kama Karani Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya Magu... Aidha, naomba nikushauri ufanyie kazi mambo kadhaa ikikupendeza 1. Maofisa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Nimewafuatilia kwa siku kadhaa sasa... Naona mnajaribu kuwa chafua wasiochafuka...
Back
Top Bottom