:crazy:HAKUNA CHA MARA ELFU,HUYU NI MZEE NDIO MAANA HATA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UMEFIKIA KIKOMO KILICHOBAKI NI KUKURUPUKA TU, KWNI AMEPELEKEA ELIMU KUPOTEZA MUELEKEO MPAKA HII LEO NA KUMBUKA MTU HUYU AMECHANGIA KWA KIASI KIKUBWA VIJANA WENGI WALIOSOMA KIPINDI CHAKE KUPOTEZA MUELEKEO WA MAISHA...
Kumbuka mkuu hilo ni changa la macho ndio maana mh amelizungumzia vichochoroni na kwake hilo si tatizo kwani amelipitisha ndipo wakaanza kupeana tangu bunge lililopita.
tunaangalia nguvu ya hoja na sio kutumia nguvu kuitoa hoja.wanachadema msikurupuke bila kuchunguza ukweli wa hoja kwani ni kweli kuwa chadema ina matatizo makubwa sana kuliko hata ninyi wanachama mnavyoyafaamu. waliopo jikoni wanajua ninachokiongelea.
mkuu inavyoonekana hauko makini kama uko makini unataka kupotosha watu,kitu cha msingi changia mada na sio kutafuta makosa yasiyo ya msingi juu ya mada,acha mambo ya ubabaishaji,angalia tarehe aliyoitaja hapo juu ni tarehe 7 na siyo 17.
Mkuu Zitto viongozi wa Tanzania wanajali sana matumbo yao,badala ya kujali masilahi ya wananchi ambao kupitia kura zao wamewawezesha kuwa viongozi kwa kuamini kuwa wangeweza kutetea maslai yao.Kifupi viongozi wa Tanzania hamuaminiki kabisa na wananchi kutokana na kuleta siasa katika kila jambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.