Recent content by Gianluca Parentti

  1. G

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

    hata samia akiona huu uzi wako atastaajab sana yaan unamsifia kwa vitu hajawai kuvifanya yaan hata yye atakukana,, umeshindwa kabisa kuwa chawa mkuu umekua mnafki kabisa NONSENSE!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

    Mkuu tukiwa tunaongelea mambo makubwa kama haya na tukisema dunia maana yake hio mbarali yenu tulishaiweka kando tukisema dunia itashuhudia tunamaanisha marekani yenyewe,ulaya,na asia kidogo ndio hasa wenye interest na haya mambo na ndio dunia yenyewe inayosubiria mdahalo huo alhamisi ijayo.
Back
Top Bottom