Recent content by Ghulaam

  1. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa Na DEV MAGARI BROKER

    Sio yeye wala wale wasaidizi wake jamaa hawana cha kuogopa ......Msaidizi wake anajibu huenda bosi hela amefanyia Mambo mengine kwa hiyo vumilia hivyo Ndio umeshapigwa ......
  2. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    shistomiasis bilharzia
  3. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa Na DEV MAGARI BROKER

    Bonge la Tapeli kwa sasa mnakubaliana biashara Vizuri unafika mpaka Ofisini kwao Unalipia fedha Nusu kwamba labda gari itafika baada ya siku tatu Hapo ndio David mgashi anakuwa amekutapeli simu za kawaida hapatikani tofauti na whatsaap pekeee huko ndio anakowaumiza watanzania Ofisini kwake...
  4. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Muhim aonwe na daktari kwa matibabu zaidi
  5. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa Na DEV MAGARI BROKER

    Vivid evidence kama kitu gani?? kuna mtu yuko Arusha 6M kuna mtu yuko Geita 7.7M kuna mtu yuko masasi 2M kuna mtu yuko Tanga 2.5 ikiwa unaweza kuwasaidia nikupe hizo vivid evidence hawa ni wachache kati ya wengi wanaoumizwa kimyakimya
  6. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa Na DEV MAGARI BROKER

    Kampuni inayojiita DEV Magari Broker and Auctioneer Limited wakijihusisha na Uuzaji wa magari na utoaji wa mikopo hawa watu ni matapeli Kampuni hii Iko pale Banana jijini Dsm..... Mnakubaliana kuuziana gari na utakapolipia Nusu ya Fedha pale Ofisini kwao wanaanza kukuzungusha Hutapatiwa Gari...
  7. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shekhe Mwapopo amcharukia Mange, adai amechochea maandamano na kusababisha mauwaji ya watu

    Hukum ya mchawi ni kifo usome uislam vyema
  8. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

    Unaoana na mtu humjui Aiseee......kozi nyingi zinarange miezi 6 ,9, mwaka mpaka mwaka na nusu
  9. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania 2025 Strongest Millitary Rank: Tunazidiwa vipi kijeshi na Msumbiji?

    huko msumbiji si Ndio juzi juzi rais wao aliwapongeza Jwzt kwa kusaidia kuleta Amani katika maeneo mbalimbali ya kaskazini mwa msumbiji...... Tanzania yenyewe iko kimyaaa tumesikia kwa Nyusi akimshukuru Samia suluhu
  10. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

    sasa hapo Hoja iko wapi jombaa??
  11. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    mama yangu zimekuwa nyingi sana Kiasi Amiri Jeshi anahisi jambo
  12. Ghulaam

    JamiiForums Tanzania Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

    Ibada isiyokutenganisha na mambo machafu sio ibada mzeiya Ndio manaa Qur'an inawapa onyo wenye kusali unaweza kushtuka wenye kusali wameonywa pia mwishowe aya ikasema wale ambao sala zao huzipuuza Kwa hiyo ibada ambayo haikufanyi ukaacha mambo machafu ni kama seat ups kukata tumbo basi
Back
Top Bottom