Maisha yanabadilika kwa kasi sana miaka hii issue si domo zege wala muongeaji issue ni pesa tu we ongea uongeavyo kama huna pesa hupati mpenzi wala rafiki iwe domo zege uwe handsome uwe muongeaji kama huna pesa hupati kitu ukiwa na pesa uwe vyovyote utapata kila kitu mpaka chawa watajileta
Nini mafia? Hata unguja na pemba ni sehemu ya tanganyika isipokuwa kuna hulka imejijenga miongoni mwa watu wa visiwani kuwa wao ni waoman na washirazi kiasili ndio wenye nia ovu ya kutaka utaifa wao kando na tanganyika lkn ukweli usiopingika ardhi yote ya visiwani mali ya tanganyika. Kama hao...
Kuna baadhi ya wakristo wanawatukuza wayahudi kuzidi maelezo.na wengi wao nadhani hawajui vizuri ukristo au ni ile hali ya kwa kuwa wamezaliwa na wazazi wakristo basi na wao wanajiita wakristo? Dini ni muongozo kwetu binaadam kuishi na na kutenda mema lkn kuna baadhi ya wakristo ktk hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.