BEiN Sport mzee... Ukipata hiki king'amuzi, mechi zote duniani utazipata in HD quality. Isitoshe wana variety ya michezo from Basketball, NFL, Rugby, Tennis, F1, Baseball, n.k. Wako vizuri mkuu
Nakuambia hakuna afueni ndani ya nchi hii...kote kote tunaumia. Ukiamua kuangalia bunge - ni vita huko, Bongo Mouvi - ujinga, matangazo ndio hayo sasa...... Mwisho wa siku unaweza kupasua luniga yako kwa hasira. Sijui tupate wapi starehe>?
Kuna cku nililala hapo nilikutana na jaama moja kiziwi....hasikii kwa sababu ya zile machine za underground za kuchimba.
Cjui wana medical & life insurance maana naona watapata shida wengi.
Wakuu,
Nilichukua mkopo kutoka benki moja hapa bongo, lakini ni mwezi wa pili sasa hawajakata hela kwenye mshara wangu.
Bado hela zao sijazigusa, nachukua tuu ile balance yangu na kusepa. ila nashawishika sasa kugusa ile hela.
Nishaurini wana JF.
Umeona bibie...
Ukiangalia matangazo yao hutamani tena ya bongo. Mimi najiuliza kulikoni. Kuna lile tangazo la sabuni Family Medicated miaka nenda rudi ni lile lile...... Goddamn. Embu cheki mataganzo kupitia citizen, eeh banaee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.