Recent content by Ghaosal salum

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

    Hii course nataka nkasomee ila sina uelewa nao zaidi. Nataka nikasome either Msc of medical image au medical physics. Ni ipi bora zaidi na kwanini? Naomba msaada
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye idea ya interview za utumishi kada ya medical physist maswali yake yanakuwaje?

    Je kwa mtu ambae ana physics na chemistry hana kigezo cha kusoma
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye kozi hii

    Niliuliza hivi kwa sababu niliskiliza kipindi kilichokua kinahusiana na uongezaji mishahara. Watu wengi waliuliza kwanini wengine wana master hawajaongezewa mishahara? Wakasemaje kusoma master ni specialization na fani ambayo mtu anaweza ku specialize ni ualim na udactari tuu. Na meangalia...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye kozi hii

    Asante kwa ushaur
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye kozi hii

    Hamjamb Wadau. Mimi nimemaliza bachelor of chemistry and physics with education. nataka kusoma master of medical physics. Je, kwa Tanzania inatambulika course hii? Na je nikisoma Ina opportunity zipi?
Back
Top Bottom