Recent content by G'frey

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari Hawana Vichogo?

    vichwa vya kuchomeka barakashia hivyo!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr. mke wangu anatatizo la malaria ya kujirudia mara kwa mara tena inakuwa juu sana, huwa anachomwa sindano za quinine alafu anameza panado. Nifanye nin dr. maana tunazngatia dozi vizuri tu na tumetumia ha mseto na sp pamoja na kutumia chandarua lakin tatizo linajirudia. Naomba msaada wako...
Back
Top Bottom