Recent content by getemsales

  1. getemsales

    Car4Sale Suzuki Carry kirikuu

    Nauza suzuki carry kirikuu ipo vizuri haina tatizo lolote bei 5,000,000/= Dar es salaam temeke kwa mawasiliano 0742100444
  2. getemsales

    SHAIRI: Kitambi kimeniponza

    Kitambi kimeniponza Kitambi kimeniponza, sina hamu asilani. Kimenifanya nawaza, maisha si ya thamani. Mahari mara ya kwanza, natakiwa milioni. Wakashindwa kunioza kwa laki tano jamani. Nikampenda shariza, asili ya arabuni. Ile tu kumposa, dhahabu za milioni. Ni kitambi sina pesa, mi kabwela...
  3. getemsales

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom