M7 aliulizwa mwananchi wake kwenye ziara mojawapo kuwa "baba sukari mbona inapunja sana wakati inatngenezwa nchini?"baada ya ilo swali kumchanganya, aliamua kumtuma afisa wake ili amuulize yule mwananchi kuwa sukari inauzwa bei gani.Baada ya majibu M7 akasema nilifikiri kilo moja ya sukari...
MZEE MANDELA'S WISDOM
"Baada ya kuwa Rais, niliwataka baadhi ya walinzi wangu kwenda kutembea mjini.
Baada ya kutembea, tulienda kula chakula cha mchana kwenye mgahawa. Tulikaa katika moja ya mgahawa ulio katikati ya mji na kila mmoja wetu aliagiza alichotaka.
Baada ya kusubiri kidogo...
Pia amesema watanzania mwaka huu wafanye mabadiliko makubwa ya kiuongozi lakini akasahau kuwa mabadliko makubwa yako nje ya sisiem na sivinginevyo .Amehaidi pia kuongeza mishahara mara dufu kwa watumishi wakati anaendelea kujenga miundo mbinu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.