Recent content by Gerasmus

  1. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    "Decision making" ni somo kama masomo mengine, linafundishwa na kueleweka na kumbadili mtu kuwa bora ktk eneo hilo, hakuna mkamilifu, hakuna anaejua yote, ktk hili mh.raisi wetu akubali kuwa ngumbaru wa somo hili, apate package yake, sio lazima arudi darasani, anaweza kusoma hata kwa muda wake...
  2. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Maaskofu -Wakatoliki

    Napokea rekebisho hilo mkuu na nakubaliana na wewe kabisa maana hata hiyo nafasi ya "askofu mtarajiwa" haipo ktk kanisa, hivyo mtoa mada aliiweka/aliipachika kutaka kuishibisha kiu yake na nia yake "ovu"
  3. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Maaskofu -Wakatoliki

    Bali matendo yake na maneno yake ndiyo yatamweka kundi sahihi, kama mkabila tutamtambua kwa maneno na matendo yake kama tulivyomtambua mtoa mada.
  4. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Maaskofu -Wakatoliki

    Swali hili naamini mtoa mada hawezi kujibu na ndio msingi wa hoja yake ya "ukabila" kanisani. Anazunguka bure na kutoa mifano mingi isiyokuwa na uhusiano na alicho nacho nafsini. Huyu mtu na wengine kama yeye ndio "wakabila" wakubwa na hivyo ni wa kupuuzwa kwani mchango wao hauna tija kwa taifa...
  5. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Singida (CHADEMA) Jesca Kishoa Kafulila apata ajali Dodoma, hali yake ni mbaya

    Weka akiba ya maneno yako hasa ktk kipindi hiki kigumu kwa familia na taifa kuhusu mbunge huyu na mama wa familia, wakati huu ni kumweka mikononi mwa Mwenyezi Mungu mponyaji aweze kumwangalia kwa huruma na pia ni wakati wa kuifariji familia yake, haya mengine ya kisiasa...cjui planned au...
  6. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jumuiya ya Kimataifa iko kimya kwa mauaji yanayoendelea Kusini mwa Cameroon?

    Waafrika sis cjui tuna tatizo gan, unamwachaje mtu madarakani miaka 36? Haya sasa, ameshiba ameanza kucheulia kwenye shingo zao, tufike mahala tujitambue, nchi zetu ni kubwa kuliko watawala wetu tunaowaabudu kama miungu, tutazidi kutukanwa na kina Trump kwa akili zetu za hivi. Mbaya zaidi...
  7. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu leo Bungeni kuhusu mafuta ya kupikia ni ya kiuongozi, itekelezwe kwa vitendo

    Tunahitaji "yoga" ya kitaifa.
  8. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kwa mliotaka maelezo zaidi ya kutolewa kwangu kwa kile kilichoelezwa kuwa ni "kutokuheshimu kiti"

    Tunapoambiwa tunakusanya kodi kuliko awamu yoyote iliyopita, tunaamini ni kweli, tunapoambiwa misaada imeongezeka kuliko awamu zote tena inatufata yenyewe bila sisi kuifuata, tunakubali... tunapoambiwa tumepunguza matumizi, vikao ni chini ya mti tena kwa juice cola na pipi kifua, hakuna ziara...
  9. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi David Goodall anayetarajia kujiua kesho atatakiwa kujichoma sindano yenye sumu

    Kifo cha huruma (euthanasia) kinakatazwa ktk nchi zenye imani ya dini ya Kikristo hasa wakatoliki, ni mwiko kusaidia au kushiriki dhambi hii, kwa mujibu wa mafundisho yao, uhai ni mali ya Mwenyezi Mungu, kama ambavyo hukuhiari kuumbwa hivyohivyo huna hiari kuishi au kutokuishi, aliyetoa ndiye...
  10. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Aibu: Mwandishi wa habari ashindwa kusoma habari ya kingereza

    "Kwani kujua kingereza ndo kusoma?"JPM
  11. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Hatuna "paternal to child transmission" so far.
  12. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

    Msaidieni huyu "second master" wa Tanganyika sec.
  13. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo hatajiuzulu

    Humble correction: mwadhama kardinali Emmanuel Wamala amestaafu rasmi uaskofu mkuu wa jimbo Kuu katoliki Kampala - Uganda mnamo 30 September 2006 na kurithiwa na mhashamu askofu mkuu Cyprian Kizito Lwanga ambae alisimikwa tarehe tajwa hapo juu hadi sasa. Shukrani kwa shule nzito na muhimu sana...
  14. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Maaskofu Katoliki, "Kama Rais ameshindwa kazi" ang'atuke!

    Jf Kwenye anga za kimataifa kumbe ni "weupe", mnajaribu kulazimisha uzi uwe wa hapa ndo muujadili...
  15. Gerasmus

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Maaskofu Katoliki, "Kama Rais ameshindwa kazi" ang'atuke!

    Maaskofu wa hapa wameshasema ya kwao ni jukumu la mkulu kuyachukua au kuyaacha, huko magharibi ndo hali imekuwa tete, jambia zinatembea kwenye shingo za watu, usiku na mchana.
Back
Top Bottom