Recent content by Gerald1

  1. Gerald1

    Karibun tunauza camera haina zote

    Comment ni hipi we wahitaji
  2. Gerald1

    ME NI TRAINER NAITAJ MTU MTU WA KUWEKEZA KATKA GYM ME NIWE TREINER WAKE

    NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
  3. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Angalia vzr mkuu, picha ya mwisho kuna meza ndefu. Na kuna mabenchi mawili.
  4. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Pamechangamka n mwisho wa daladala za kinyerezi, hvy watu wapo
  5. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Eneo ni zuri kwa biashara unalipata kwa milioni moja na laki nane 1,800,000 Maelewano yapo wakuu 🙏
  6. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Nimefanya editing kwenye uzi na kwenye bei, wakuu karibuni sana. Maelewano yapo
  7. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Naomba tuwasiliane, namba zangu zipo hapo.
  8. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Nauza kwa sababu natakiwa kupata pesa kwa ajili ya kutatua changamoto za kifamilia
  9. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Nna matatizo ya kifamilia ndugu yangu, hvy inanihitaji kupata pesa kuweza kuyatatua.
  10. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Hapana ndugu, ni sehemu maalumu imetengwa kwa ajili ya biashara na Mm ndio mmiliki, ukilitaka tutafata kila utaratibu wa kuhamisha umiliki
  11. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Mm ndio mmiliki na sasa naliuza
  12. Gerald1

    Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

    Ndio ndugu, n eneo la biashara na litakuwa mali yako utakuwa unalipia ushuru 500 ya manispaa tuu kwa siku
Back
Top Bottom