Kodi, P.A.Y.E, Nyumba, Maji, Umeme, Ada za Shule kwa watoto na chakula. Kodi nyingine za ovyo ovyo Kama Mpesa, Simu, Bank, Nauli na mengineyo ni kuongezeka kwa bei za bidhaa kwa mlaji bado kwa mstaafu or mfanyakazi mwenye Nyumba na Kiwanja inabidi alipia hati ya Kiwanja na Nyumba( property tax)...