Unajua daladala walifika mahali wakajisahau, sasa wameona faida ya soko huru. Yaani mtu anawahi hospital na tayari kapakia level seat ila haondoi gari mpaka mshindiliwe, ukisema tuu utatukanwa. Huku koda mchafu mchafu. Sasa wamekuja bajaji wanalalamika. Ase SUMATRA waandikie barua za kuwataka...
Nakwambia UTII ukizidi unakuwa UOGA na Mara zote uoga huzaa unafiki na kujipendekeza. Sasa ninyi watumishi wa umma kwa wingi wenu kama mmeshindwa kupiga kura kuondoa viongozi dhalimu, bora mfe tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.