Wange tii na kwenda. Mbona Kenya Rais na naibu wake walitii amri ya mahakama...? Kwani walipungukiwa nini? Vitu vingine wala hata haviitaji ubabe ni akili tu. Kwa hiyo tuamini kwamba mahakama haina mamlaka kumuita mku wa mkoa na kamanda mahakani kuhojiwa....?
Kapotea njia na hata Kama kutafuta cheo ndio iko hivi..... Duuuuu hiii inchi balaaa U IGP inatafutwa kwa nguvu.... Ogopa tumbo..... Shikamooo Tumboooo.
Kama ni ya mda mrefu... Tumia hizi dawa...
1.Choma cephtriaxone inj. 1gm daily kwa 5/7.
2.paka clotrimazole cream Mara mbili Kwa Siku kwa 5/7.
3.unapokuwa kwenye tiba jaribu kutenga nguo za ndani za kuvaa.,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.